Thursday, October 20, 2011

Kitu na Box..


Mwamkumbuka Bi Harusi Salama Mwinjaka?
On her kitchen party
On her send off....alikua potable mwenyewe..
Wedding day..
And Now....
Yap yap yap jumlisha toa gawanya zidisha=BBAR NDO HIYO...
Kila la kheri sis..

2 comments:

  1. Ah twamkumbuka sannaa, kumbe alipata mume na si gumegume, mashaallahu,basi tuonyeshe na "baby shower" yake kama itakuwepo.

    Kila la heri ze blogger na ze expektant maza.
    kudadadeki watasonyaje wale wenye husdaaaaaaa?

    ReplyDelete