One happy family...lovely
Pilly na mama Privas na birthday boy
Jamani msinzingue na nyimbo zenu me nataka kukata keki...lol
Bado mnaendelea tu kuimba?
yeeeeaahhh finally napewa kisu nikate
Pascalin a.k.a Mama Privas akilisha wageni waalikwa
keki taaaamu..
Sunday akimlisha mkewe Pascalin..
Pilly akitoa ushirikiano wa zawadi
Best friends toka high school..keep it up girls,pendeza..