Who;Mwantum Mashaka
What;Kitchen Party
Where;Lamada Hotel
Colour;Pink and Gold
Mc;Jamila Kitimtim
Bibie Mwantum huyo
Lamada Garden..
ZAWADI
Wakati bi harusi akisubiriwa,watu waliserebuka
MC Jamila Kitimtim
MAMA AKIWASILI
Aunt Bure,Mama wa Bi Harusi
Mwanaidi a.k.a Mrs Abdulnaseer
Aunt Nuru na Dada yake ambaye ndo mama wa Bi harusi
Apo chacha..
MTARAJIWA AKIWASILI
Full kujimwayamwaya
Ng'ari Ng'ari alitoka
Mtu na odo wake
Mtu na dadiye
Tunacheza kizombi zombi..
Wageni wakikaribishwa..
Kumfunua Mwali unaachia vijisenti kidogo..
Mwantum akitoa utambulisho
Eeeh Maritina eeeh maritina....Mama anajihisi yupo milimani uluguruni
Mamdogo akitambulishwa
Kitu cha Ua..
Kuja kwa Mwanaidi sasa,kwanza wakatoa show ya nguvu kabla kulishana cake
Katika Sendoff ya mwanaidi,Mwantum ndiye alikua matron wake
Best friends..
NASAHAZAWADI TIME
Mama alijipinda haswaa..
Kapu la Mama likasasambuliwa..
Wadogo wa Bi harusi..
Ikaja zamu Ya Aunt nuru
Picha zajielezea..
Aunt Nuru akawekwa mtu kati kutunzwa
Zamu Ya Mama
Mchezo Pesa..
Viduku vilikuwepo vya kutosha..tena vya kila aina,vya kusinzia,vya kujirembea ushindwe wewe na macho yako tu..
Shosty wa Bi harusi..
Walipiga pozi zuuuri tu..
Mara wakaanza kutoa show...
Ushindwe we na macho yako tu..
To be continued...