TUDARCO means Tumaini Dar es salaam University College but hizi snaps zimepigwa Kurasini Campus where I am pursuing my Bachelor Degree in Law,Second Year,hopefully to be done by next year
Biashara ni matangazo popote pale..hapo Francisca alileta hereni nzuri nzuri na watu ndio walikua wakifanya sagura kama hivyo.From Left Josephine,Joane,Semeni and Francisca
Jones and Josephine wakati natoka darasani nikawakuta wakiwa chini ya mti wamedoji class,nikawapa zile za ki primary chakachaka dengoo nimewafuma nawasemea kwa mwalimu..lol