Thursday, December 22, 2011

Zahma ya Mvua Dar es salaam


Gari la Serikali kenye namba STK 3316 likiwa limetumbukia kwenye daraja lililobomoka kutokana na mvua eneo la makondeko kwa mahita mbezi Dar es salaam.Dereva an abiria waliokuwemo walinusurika katika ajali hiyo.
Picha hii kwa hisani ya http://www.michuzijr.blogspot.com/