Hatimaye Keyshia mwimbaji wa 'sent from heaven' aoana na mchezaji wa kikapu Daniel Gibson mwishoni mwa wiki iliyopita.Keysia alivishwa pete ya uchumba siku ya mkesha wa mwaka mpya wa 2010 na ndoa hiyo ilikua ni ndogo na haikujaa tashtiti na watu wengi kama ndoa tulizozoea za mastaa.