Saturday, August 20, 2011

Mposheye's Birthday dinner

Mposheye a.k.a Posh kama wengi tuvyozoea kumwita alifanyiwa ka birthday dinner na marafiki zake including me mwenyewe nikiwa mmoja wao,tulichanga kila mtu achokua nacho na kwa vile ni Ramadhan so we decided to do this small thing for his day na yote haya yalipangwa ye mlengwa akiwa hana slightest idea of whats going to happen,was fun kwa kweli...
The three tier Cake from Longa Delicacies


Umeipenda???tutwangie Longa Delicacies tutakurekebishia any cake of your dream with a heavenly taste at an affordable price..0717-162797

Posh aliitwa aje sehemu na kukuta watu wamejikusanya wakimsubiri hapo ndo kafika akiwa haamini alichokikuta

Mwenyewe alijua anaenda maskani kustorisha na washkaji kama kawa kumbe mambo yalikua tofauti
bumbuwazi bado likiendelea..

Washkaji wakimkaribisha na majani maana sioni ua hata moja liloshikwa..


Inaelekea kijana anapenda sana majani...tehtehteh



Wimbo wa birthday ukiendelea..


Birthday boy kwa mapozi..sikuwezi

Pili akimsaidia birthday boy kukata keki

Haya anza kulisha marafiki zako wapendwa...

Lau akipata piece yake


Bibie nancy nae akijitaarisha kisaikolojia kupata keki tamu from Longa Delicacies

Tamu eeeh?

Dada mwenye huo mgahawa tulofanyia sherehe naye akapata piece yake ya cake

Japo me ndo nlopika ila skubaki nyuma nlijihcagulia bonge la piece,sa ntafanyaje kama keki tamu jamani?lazma njipendelee..

Nlichkua piece kubwa mpaka nkashindwa kuimeza yote nkaishia kuchekwa tu..

Jina la huyu dada ni refu wenyewe washazoea kumwita G na sie ndo tunamwita hivyo hivyo,ni mhudumu wa huo mgahawa na yuko poa sana katika huduma zake

Dada mwingine wa hapo kwenye mgahawa nae akijisevia piece yake ya cake



Msaidizi wa kukata keki nae hakubaki nyuma,si unacheki jipiece alojisevia mwenyewe..

Fatma akipata utamu wa keki

Menu yetu ndo ikawa hiyo

Birthday boy akatufungulia dimba..


Mtoto anayesadikika kuzaliwa siku hiyo akiendelea kujisevia


Bibie Nancy akipata menu

Mbaba charles nae ndani ya nyumba..


Swagga za Birthday boy..koti kwa jeans ya kisharobaro..


Dada mwenye hiyo sehemu tuliyofanyia sherehe

Baada ya kula tukakaa kupiga story za hapa na pale

Kisha sherehe ndo ikawa imefika mwisho...hakukua na muziki wala pombe..itikadi ya ramadhan ilizingatiwa ila tulishkuru mlengwa alifurahi hicho kidogo alichotayarishiwa na tunamuombea maisha marefu yenye kheri,baraka na afya tele...