Wednesday, July 18, 2012
Farida Mahmood Mbilikira and Abdul Zowange's Ndoa
Bi haruc akiwa salon
Mashallah
Pendeza my sis..
All smiles..
Akitoka salon kwa vigelegele
Mr and Mrs Cholo Mbili with bi harusi
Mariam,farida and nassoro
The bride
Shunnaaaa
Lovely...
Stunning..
Piko ilikaa mwake mwake..
Love the dress..
Amependeza hajapendezaaaa????
Amependezaaaaaaaaaaaaaaaa
Adil,farida and nassoro
Chautundu boloyoung with his aunty..
Kiduku chako tu mie boloyoung...
Fatma Ngunde
Longajao na bi harusi..
Tumefanana eeh?
Boss cholo busy busy...
My dear bro who came all the way from states just to attend his sister's wedding ambaye alimwakilisha pia mrs Ngomeni wtih baby amir who couldnt make it but were together with us in each step of this wedding..thank u dear sis joana..that's what family is all about..lodz ov love..
Bi harusi and pili..
Farida na mdogo wake hapo alikua anavizia bwana harusi agonge kuingia kumuona bi harusi ye adai hela yake...ndio mila za kizaramo zilivyo..
Three musketeers..
Tumekaa standby kusubiri mlango ugongwe...heheheheh
Longajao huyooo
Bwana harusi akimsomea dua mkewe hapo baada ya kutushikisha chetu ndo aliingia..
Ndo huyu kweli?
Basi nichum nikiss...
Mwahhhhh
Happy couple..
Love u guys..
Sophia,farida na mama mbunge mtarajiwa amana fundikira..
Mama Hawa mmanga,bi harusi na cholo mbili
The End for now,bado more pics from the dinner and dance event..
stay tuned.
Subscribe to:
Posts (Atom)