Monday, January 23, 2012

Trailer:Shabani and Hawa's Wedding Reception


Mr and Mrs Shabani wakiingia ukumbini


Heshima kitu muhimu
Sasa upande wa burudani zilikua za kumwaga yaani ilikua mtu ushindwe weyye tu na macho yako

Khamis nahaki akipiga kiduku cha hatari..

Ni kuyarudi tu hapo kama huwezi kaa pembeni

Mama Sanga akikabidhi zawadi yake,kitu cha dining table,hapana chezea Mama wa ghorofa jipya..

Ukiwa mtu wa kutoa nawe utapata vingi tu ikifikawakati wako,hongera mama..

Rehema akiongoza kupeleka zawadi

Yes yes mambo ya mahela tu hapo,kitu cha cheque hicho..chezzeyya

Mother and daughter


Flowers walipendezajeeee...
Hizi ni vionjesho tu,kuna picha za kumwaga hapa zitawekwa very soon...
Stay Tuned..