WHO: Farida Mbilikira
WHAT: Mada and Singo
WHERE: Russian Culture
Colour: White
MC: Kide
Dada yake mie
My very own sister akitoka yeye ndo mie nafatia..mapenzi tele..
Half cast ya kiluguru na kizaramo
Somo huyoo..mam wa cholo
Hawa ni wamama wa kiislam ambao ndiyo watoa mada, wanaburudisha na mawaidha na madufu yao yanachangamsha sana,waliokuwepo hakika walifaidika kwa mawaidha na kuburudika haswa..
Binti wa kiislam akiwa katika mada,,,mambo ni kustirika tu..
Dufu limekolea hapo
Mduariko wa dufu
Farida and sophia...mahmood mbilikira's product
Mama diwani
Mrs Halima Tahir
Dua zikuongoze my dear sis..
Make up meona ivotulia..
Petty and makihiyo
Rukia
Ikija muda wa singo........
Starring mwenyewe kide..
Madoido yake kama kawa
Kapu la mama likaanza sasambuliwa
Mzuka wa kizaramo ukipanda ndo yakua hivi..
Sanduku la kwanza la familia likisasambuliwa na aisha...
Misosi ilikua ya kumwaga ilianza lunch ya nguvu then jioni zikaja bites na vinywaji..vitu fresh ndo vilitolewa jikoni vinapakiwa..
Mazawadi kedekede toka kwa familia
Mama mariam wa cholo akisasambua..
Sanduku la pili toka kwa somo mariam cholo...chezzeyyaaa...
Jisanduku likisasambuliwa..
Msasambuo..
Family ya zowange...mawifi zetu kwa farida
Na kati ya PSPF..
Hakuishia hapo somo wifi bado akaendelea...
Maneno huwezi kusoma hata picha huoni...zoom uone
Kitu cha gold with tanzanite...somo oyeeeee
Tunzo toka kwa mama mariam..
Tunza sana mdogo wake mwenyewe.....
Mazawadi teleeee
Mrs Neema mwinjaka akitunza majihela kwa mrs faraji mwinjaka
Mambo ni gold tu...dada mtu nae akampachika gold set nyingine...nakutamaniaje mwenzangu..
Udugu hazina yao...mapenz kedekede kwao...
Mabibi nao hawakubaki nyuma
Mabibi toka Bangazula family
Jitanda la nguvu
Kabati la ukwee'eh
Mavyombo ndo usiseme
Zawadi from family
Ikaja zamu ya kina zowange..
Majihela tu hapo toka kwa wifi salama..
Wifi khadija nae alitunnza sana tu..
Mahela tu hapo
Mrs Hawa mmanga,mama yetu kipenzi akimtunza binti yake..yaani fwedhwa za kumwaga..mashallahh mama
Mrs Amana Fundikira,mfanyabiashara maarufu jijini mwanza,mama mdogo yake mie...mke wa mbunge mtarajiwa..hapana chezea wewe..
wakwe walitunzwa vizuuuri..
Hakuishia hapo akamwita na sophia nae tuuuuunzwa sana tu
No chakachua pili
Sophia akiwatunza mawifi zake for a job well done..
Parul
Pendeza..
Somo oyeeeeeeehh
Na kati ya zantel
Tatu fundikira na fatma ngunde
farida mzuri mzuri
Time management ilikua ya uhakika,sherehe mbili ila muda ulipangiliwa hadi by saa tatu kila kitu kilikua kimekwisha,,mambo ya kuwekana ad saa sita za usiku halafu mtu kapewa ruhusa toka saa nane mchana hata haipo kwetu
Muda ulibaki wa kutosha hadi kide nae akataka atunzwe na yeye,hapo juu alianziwa na kamaria akamwagia mahela full kechekelea na hapa akienedelea kutunzwa
Tunzwa sana tu...
The End