Friday, October 14, 2011

Khadija's class birthday celebration..

 
Mdogo wake Mariam nae alikuwepo kushow some love to dada..pacha hizo

 
Miss Khadija in class at her desk,rafiki yako mbona kanuna pembeni jamani?

 
Birthday gal akiwa kshakata keki..camera ilizingua kidogo wajameni nsameheni,hadi inarudi mitamboni ndo ilikua cake ishakatwa

Assistant Head Mistress akimlisha
 
With her class teacher..

Akimlisha pacha...

Aunty Longa akipata kipande chake..

Huyo ndo best friend wake...

Shosti akimlisha besti..

Walimu wa hapa Little Angels wako friendly sana walikua tayari wantolee sahani,kisu na uma but nami nilikua nimejipaga kwa vyote hivyo but niliipenda hiyo... 

Cake ikiendelea kukatwa..


Everyone in class got his/her piece..


Sasa brother mahmood akaanza kuzurua darasani kwa watu anamwita dada'ke kwa sauti ya juu kabisa adijaaaaaaaaaaaa...mluguru ana tabu huyu

Maneno meeeengi ukimwabia kesho unaanza shule anatulia kama maji mtungini...sipati picha hiyo first day in school itakavyokua...

Friend and neighbour wa khadija anaiitwa mohamed...

Head Mistress nae akamwita apate kumlisha denti...


Then ba mkubwa akapata tena piece yake coz alishapata mara ya kwanza in class ndo camera ikawa off tena...

Na hapo ndo mwisho birthday girl akarudi darasani sie tukarudi zetu home...
Bado birthday celebration ya home sasa...
stay tuned!!