Jamani mtanjuaje na mie nna vinjino?
Hey,My name is Adil,u can call me boloyang si unaona nna mwili km wake and this is my album on my first vacation to hongkong...i'm sooooo excited
Look at me now...yeeaaahh
Mwenzenu naenda kufanya shopping and kupumzika, i need a vacation..u don't know how hard to be mtundu like me
Peace and love y'alll..
Jamani hawa wananfanya me toy eeh ngoja niwatolee pozi za njino tu..
Hawa ndo Mr and Mrs Nassor Mbilikira,my parents..
Mke wake baba and mimi
Nyam nyam time..mmmhh mama hiyo soup sio ya chura kweli?
Hasheem thabeet to be...
Hehehehe demu wa kichina kazimia swaga zangu
siamini nimepata chance ya kupiga picha na Mrs Bruce lee..lol
Huyu nae alivyo feki hadi hairstyle feki mpaka kaenda kuniiga kiduku changu
And this is ma Daddy..
Me and my daddy tukivuka barabara to chanel shop
Me and cholo mbili tukiwa kwenye foleni ya kuingia dukani
U see my mummy...kaenda kupiga picha mbele ya gari nnalotaka ninnuliwe
Daddy alinibeba sehemu zote tulizoenda...
Nikawa nacheki tu speed yake ya kunbeba every where mikononi itaishia wapi,si wajua me heavy weight
Na mwisho mwenyewe akasalimu amri kama uonavyo,si nlikwambia daddy?
But he's still the world's best daddy..
Japo alinkaba kidooogo kwenye shavu..
And sometimes aliendelea kunibeba mikononi mwake..that's why i love him so so
Hapa nikitafakari mustakabali wa utundu yangu na hatma ya hawa wachina wasije nigeuza nami nikawa feki bure..
And this is my sweet lil family...I love my mommy and daddy coz wana tolerate utundu wangu everyday,God bless them waendelee kunnulia toys na they should always keep those smiles on their faces in eternity.Byee Aunt Longa and wewe unaenisoma