A nice pink and yellow cake from Longa Delicacies,hii cake iliandaliwa na mashosti zake inviolatha na ikawa suprise darasani bila ya birthday girl kujua mpango mzima
Birthday girl,Inviolatha akikata keki
Kata keki tuuuuule...
Akimlisha evelyn ambaye ni mmoja alomwadalia hiyo cake
Thank u jane for this cake,shosti mwingine aloshirikiana na evelyn kumwandalia hiyo suprise cake
Darasani watu wakiseviwa
Prolimina akipata jipande lake
Mwajuma nae akapata pande lake
Monica hakubaki nyuma kujisevia hasa ukicheki ni mpenzi saaaaana wa keki