Friday, December 30, 2011

Mie ningemtoa pua baada ya kuona,wewe je?

INGEKUWA WEWE UNGEFANYAJE?

Mishy Millan Ferrion Semndaia's Birthday celebration..

Birthday Girl
Doli doli nina keki mbili..
Ilikua pia siku ya kuzaliwa ya gossip cop

Baby Girl ni mtoto wa rukia,baby boy ni mtoto wa hafsa,hao ni dada zake mishy 

Mama tariq na abuu zowange,mtoto w mwisho wa Marehemu Mama Salama,Mungu amlaze mahali pema..