Who-Magreth Mbonya
What- Pre Wedding Party
Where-NSSF Waterfront
When-21st July 2011
Colour-Royal Blue
The grand entrance
Mgeni mualikwa
I love lights,jus look at dem falling tigether at the centre...beautiful
JiKeki hiloooo
Cheki kibandiko hicho kichwani yaani kiroyal royal tu hapa
Beautiful Magreth and her matron
The bride to be...such a glowing face..
Magreth, Gao's wife
Toto acky with her tummy...mom to be
Tell the baby to smile for the cam..lol
Aunt Sai on the dance floor
Go aunty...go aunty
Shangazi nakuona pale kati
Our lovely mama
Mother of the bride..love the dress
Twende tukakae dada..they love each sooo much mpaka hawataki kuachana mikono in this joyous event
Tina Mbonya..dear sis
From left Mr Gao and friends
Champaigne zikifunguliwa
Starter iki take place..
Thanx for letting me be your matron
Thanx for being my matron
Cake to mama
Cake to in-laws...
Hapo akiwa ameshampata groom to be wakielekea on the stage
Bride and groom to be...
Da Mage kwenye pozi
Menu tme ilikua haina majotro yaani full mazagazaga u jus name it
Si wacheki mwenyewe...
Unacheki mvuke huo Kitu cha motooo unakula fresh kabisa
The couple wakienda kujisevia..
Mapouz time
Shuffing ikiendelea...kitu cha qyto hicho
Hapo chacha
We all miss you our dear joana,wish ungekuwepo in bongo to celebrate with us,,
love u my wii...