Who:Mwanaidi Fadhil Msuya
What:Sendoff party
Where: Kualalumpur hall
When:01 December 2011
Colour:Pink and purple
The stage..
The beautiful Mwanaidi
Smile haimtoki usoni mwake..mashaallah
Sherehe ikifunguliwa kwa dua
Utambulisho ukaanza
Mama mzaa chema
Mabibi wa Bi harusi
Baba mdogo wa bi harusi
Babu wa bi harusi...
Bibi alienda kumkumbatia mjukuu wake..
Hakuishia hapo akaanza kuyarudi..chezea bibi
Champaigne Tym
Champaigne tym..starring mwenyewe..
With a bit of help..
Baraka za wazazi muhimu kabla kufungua..
Haya funguaaaaaa...
Full usukani bi harusi..
Kwa wakwe..
Cheeeeeers...
toasting tym..
Toasting kwa viduku...chezea
Shangazi huyoooo..
CAKE TYM
Piece to my matron..thanks for being here with me
Pleasure is mine dear friend..
Much love...
To my dear parents..
Mzee Fadhil msuya akitoa nasaha
Mrs Msuya huyo..pendedha mama
Will always love u my dear parents..
SAKA MUME TYM
Namsaka mume wangu,namsaka mume wangu..
Tafuuuuuta pande zote
Alipoenda kumkuta sasa,chini ya meeeza...
May u be blessed with that smile on ur faces for eternity..
Mr Abdulnassir liberatath kavishe,mume halali wa bi Mwanaidi Fadhil Msuya..
Off to the buffet..
Mlishe,mlishe aaaaammmm
Burudani pia ilikuwepo..
Qyto haikukosekana..
Wapokeaji wa zawadi wakichkua nafasi zao..
ZAWADI TYM
Oven hiyo..
Mashangazi..
Mama pia alitunzwa..
Na kati ya PSPF..
Hapo ni hela tu zazunguka..
Kapu lingine la mama achana na lile la kitchen party
Chezea Mrs Msuya..
Mwanangu pale upo full..
Chozi likamwagika Bi harusi
Ze kamati..
Zawadi from ze kamati..
Neno la shukrani..
Tena chozi likamtoka kwa furaha..
Shangazi akikabidhiwa sanduku from wakwe..
Waalikwa
Ze End...
Bado Photos za reception sasa,ushawahi muona princess in bongo,ndo mwanaidi alivyotoka siku hiyo..
stay tuned..