Jana Longajao katika kukatiza mitaa iliamua kuelekea katika Fiesta Bonanza eneo la leaders Club ambapo Club za mabingwa wa Ulaya zilishindanishwa na Real Madrid kuondoka na ushindi katika Fainali dhidi ya chelsea
Tycson,kamanda and faraja wakichekana baada ya team zao wote kutolewa katika mchujo
Hapo nyimbo za club za mabingwa wa Ulaya zilipigwa na mashabiki walirukaruka
Mashabiki wa team ya Barcelona wakienjoy wimbo wa club yao
Shafii Dauda ambaye ni mtangazaji wa Clouds Fm kipindi cha Sports Extra aki enjoy wimbo wa club ya InterMilan
Mashabiki wakishangweka
Ikafika zamu ya club ya Real Madrid kujimwaya kabla ya fainali kuanza
Mashabiki wa team nyingine wakiwachek wenzao wakiserebuka
Zamu ya AC Milan ilifika na shabiki huyu tu ndiye aliyejitokeza mbele kucheza wimbo wa club yao...Dduh!
Hakukata tamaa mwenyewe aliendelea kuzunguka uwanjani peke yake..lol
Mashetani wekundu nao waliingia uwanjani
Nyomi la watu wakiruka ruka kabla ya fainali kuanza
Shabiki wa Manchester akilazimisha tabasamu baada ya kutolewa katika mchujo
Referee akicheki kama kila kitu kiko sawa kabla ya fainali kunza
Wachezaji wakiingia Uwanjani kuanza fainali
Na mpira ukaanza..
Soka likiendelea...
Muda wa mapumziko ambapo ilikua bila bila..
Soka ikaendelea na hadi mwisho hakuna aliyeweza kumfunga mwenzie ndo penalty ika take place..lol
Hadi mwisho wa penalty Real Madrid wakaibuka kidedea
Mashabiki wa Real Madrid wakishangilia ushindi wao dhidi ya Chelsea