IfTAR @Sofia and Faraji's place...
Menu ndo kama hiyo uinonavyo
Gents Side
Mrs Omar Ngunde akiweka mambo fresh
Mrs Cholo Mbili kwa pozi....
Ladies Side
Da Tabu huyo
Mie nilikaa kwenye kona hii kama uonavyo nililenga sekta za nyama nyama...tehtehteh
Maa unashangaa nini?
Adil with Uncle Mody
Mr and Mrs Faraji Mwinjaka wakiwa hoi baada ya wageni kuondoka,me nkajilaza pale kwenye kiti nyuma
Walihakikisha kila mtu kapiga menu ya kutosha na hapo ndo wao wakawa wanajisevia mwishoni
Hoi...
Heee Aunty ysha mbona unapenda picha hivyo?
Sasa zamu yangu na mie niangalie camera..
Na hiyo ndo ilikua mialiko ya iftar za mwisho mwisho ya ramadhan niliona tujikumbushie kidogo...