Bride:Salama Mwinjaka
Groom: Lilah Maganga
Where: Korogwe-Home
What: Wedding ceremony
Colour: Blue
Bi harusi akirembwa
Umeridhia kuolewa na Mr.lilah?
Aaaaamin rabbil alaaamina
Ndoa ikifungwa
Mabraza wa bi harusi wakifanya upaparazzi
Mila ikifanyika,hapiti mtu bila bakhshishi
Lazma mtoe kidogo kitu hapa
Bi harusi akiombewa awe mke mwema
Full shangwe
Jamani yan ndo tayari nshaolewa?
Yan me nalia we unacheka?
Bas tabidi na me ncheke tu
Lovely
Bi harusi na wifi yake sofia
Sister sister...Bi harusi na mdogo wake fatma
Bi harusi na wifi neema
Love Birds
Menu Time
Kitu cha biryani
Bwan harusi akizidisha shavu
aiweeeeewe kula
Mc Kide na plate yake
Mashemeji wa Bi harusi hao
Mama neema ye alijisevia faaaasta akamaliza menu yake
Wakimwaga wino
Mh,hii saini yake kweli?
Ngoja nijitoe muhanga tu..lol
Mr and Mrs Lilah Maganga
Mapowz
Pendeeeedha
Mijipiko hiyooo,cheki guu hilo ng'ari ng'ari
Wakitafakari safari ya kurudi dar muda huo huo
mchum mchum mwaaaaaah
Na Mama wa Bi harusi
Ma'mkwe akishow sum love to mkwe
Ma wii hao full machumu
Sare ya mawii ilikua kitambaa cha dira jepesi
Sofy akituringishia piko yake
Kamaria ndani ya poz la kushtukiza
Nimependedha sjapendedhaaaaa?Umependedhaaaa
Ma'mkwe wa bi harusi
Maharusi na kaka wa Bi harusi,Shaaban mwinjaka
Mama mamu and aisha mpambaji wa Bi harusi
Na sare zao wenyewe,pendedha
Akiondoka rasmi
Kurudi nyumbani kutembea..
Wakwe wa Bi.harusi wakitoa shukrani kwa ukarimu waliopata toka kwa wenyeji wao wa korogwe na hapo walikua tayari kuanza safari ya kurudi dar jioni hiyo hiyo,hamna kuremba
Maharusi wakiskiliza shukrani zikitolewa
Mwisho