What:Ndoa
Where:Upanga
Colour:Red and Gold
Bi harusi na wedding dress yake nzuri ya red..
Bi harusi anapenda kucheka huyooo
kwa pozi sasa...
hair style ya ukwe'e
somo No.1
Somo No.2
Bi harusi ready kwa kufichuliwa
Mawifi hao na mama mkwe wa Bi Harusi
Ndoa ikifungwa
Bi harusi akiwa stand by kumpokea Bwana Harusi
My friend Asma pia dada wa Bi harusi na totoz wake
Bibi Harusi na wifi yake Salama na baby fetty
Na me nna mapozi babu eh
Ukimcheki Bwana Harusi kwa chap chap utasema ni mchina
Family photos
Huyoooo bwana harusi akabeba jiko lake akatimka nalo
Bye bye..