WHO;Abdul Nassir and Mwanaidi
WHAT;Wedding Reception
WHERE;Green Leaf Palace
COLOUR:Red and White
The beautiful Mwanaidi
Her prince charming Abdulnassir..
What a lovely couple,mashallah!
Jikeki hiloooo
The stage
Red na white imetuli..
Bride maids wakiingia..
Walipendezaaaje...
Da Catherine full kupendeza in white and white,elegant!
Ukiingia unapewa na zawadi from these lovely girls..
Usafiri wa maharusi..
Maharusi wakiwasili Ukumbini..
Watu wakiserebuka kuwapokea maharusi..
Yaani leo umependeza..
Wakaanza hawa kuingia..
Then hawa..
And finally kama ni picha basi hawa ndo Brad pitt and Angelina Jolie
Cheki gauni hilo..limechanua full kiprincess..pendeza Mwanaidi
Wazazi Wa Bi harusi..
WAALIKWA
Shughuli ikifunguliwa kwa dua..
Mwenyekiti akikaeibisha waalikwa
Da catherine huyoooo
Haya punga mkono kusalimia wageni
UTAMBULISHO
Wazazi wa Bwana Harusi..
CAKE TIME
TO BE CONTINUED...