Where:New Delux Hotel
When:30/09/2011
Colour:Purple and Black
The Bride Kulia na Matron wake
The hall looked amazing
The Grand Entrance
Cake made by LONGA DELICACIES
Longajao kwenye pozi
The Baykah..
Mc: Dr Cheni ahpo alikua akivuta muda maana wageni walichelewa kufika ukumbini
Bride's Car
Mapozz
The Baykah and the MC
Invitation card hiyo sa i made the cake matching the colours of the wedding
The Arrival
Hapo ndo bi harusi alikua akiingia ukumbini
Bi harusi namkubali kwenye kucheza tu ni A+
Kiuweli nilimpenda zaidi edna this day coz she was so alive at this event sio ma bibi harusi wengine wamepooza au wengine wamenuuuna tafikiri wamelazimishwa halafu mapaka wakumbushwe na MC kutabasamu
Kujimwaga mwanzo mwisho
Kwa raha zako mwenyewe
Na escort yake ilikua imetulia
Tabasamu mwanzo mwisho....safiiii
Wanaturdaco representing...
Cake kwa wazazi wake
To dear Mama
Longa akihakikisha kila kitu kinaenda sawa katika mambo ya keki
Ckae to wakwe
Wageni waalikwa wakiserebuka
Saka Mume time...
Mpaka akampata
kitu cha ice cream na apples..yummy
Mr Groom to be..
Talking through eyes..
Wanakamati wakiserebuka na Bi harusi
Oh yeeeeaaah qyto time...
Hapo mashuffe tu yaliendelea mpaka mwisho zawadi zilitolewa nyiiiigi but my camera went off so couldnt get those pics..next timw will be more careful..sorry for now
The End