From left baba yake Mitch Winehouse, kaka yake Alex,boyfriend Reg Traviss ambaye pia ni director wa filamu na mama yake Janis wakiangalia salamu za maomobolezo toka kwa mashabiki alokua nao amy na hapo ilikua nyumbani kwake in London. Amy amezikwa leo jumanne katika makaburi yaliyoko North London