Kiingiacho mjini sunna kua nacho kama prezdaa alivyowakilisha kitu cha Cupcakes and kama wataka kuwa wa kileo kwenye kitchen party au send-off mfano jina langu me ni AISHA naweza weka cup cakes za letter "A" kama uonavyo hapo chini zikawa packed vizuri na zikawekwa katika kila meza kwa kila mtu,kuna idea nyingi za cup cakes,Want more? Wasiliana nami through 0717-162797 au waweza kuja Upanga,Mtaa wa Mfaume Plot No.909 karibu na Chuo cha Mzumbe,Karibuni sana LONGA DELICACIES