Siku ya jana katika mkutano wa Halmashauri kuu ya CCM uliofanyika jijini Dodoma ulitoa majina mapya wa viongozi wa chama hicho kama ifuatavyo:-
Katibu Mkuu wa Chama-Wilson Mukama
Naibu katibu Mkuu Bara-Abdulrahman Kinana
Katibu wa Itikadi na uenezi-Nape Nnauye
Katibu wa Uchumi na Fedha-Zakia Meghji
Katibu wa Oganaizesheni-Rehema Nchimbi
Hongera kwa wote waliochaguliwa...