Monday, November 28, 2011

preview:Mwanaidi fadhil Msuya's kitchen party

The beautiful mwanaidi..hamna uchakachuaji wa carolight hapo..natural hiyo

Designer alifanya kazi nzuri sana sana kumpendezesha ila ukweli unabaki pale pale kwamba uzuri na shape pia vilichangia azidi kung'aa..unabisha?

Ashawo awusha..

Awusha ashawo..

Alichangamka mpaka mwisho..

Sawa sawa sawa lee assshhhhh...Kwa raha zake..

Pompom porokoto pompom porokoto..hapana chezzeya mwanaidi mpaka chini hiyo

The cake..
Sasa mie jamani nna principle moja,ukitaka kujua uzuri wa waandaji wa sherehe kama wameweza au lah cheki kwenye menu,unaweza ukajitahidi kwenye mambo mengine na yakawa mazuri tu ila ukichemka kwenye menu basi ndo hapo kasoro inapoanzia,,sasa hebu cheki menu hii af ndo utajua uhondo ulokuwepo  

Vitu vya ukwe'e..

yatamanisha haitamanishi?

cheki mvuke huo yaani kitu fresh cha motooo unakipata

Chezzeyya....

Salads za kutosha,sambaro,fruits halafu kulikua na chai ya maziwa nzitttto inayonukia vanilla..
Hiyo ndo preview,sasa kaa tayari kwa mapicha ya kumwaga any time from now ujionee vitu vizuri...