Ballons Wedding Dress
Huyo ni famous designer Vera Wang ambaye pia ni mbunifu wa Wedding dress ya Kim Kardashian,hapo akiwa na model wake alovaa kitu cha maputo mwili mzima
Sasa me najiuliza huyu Bi harusi kama ndo atavaa,kwanza,atakaaje?halafu ukiwa plus size si ndo unaishia kusimama mwanzo mwishomaana ukikaa tu full ku burst..
pili,pata picha kwa bahati mbaya akikalia toothpick au pini ya nywele ikachomoka then akaikalia...yakua full majotro hapo
Toilet paper Wedding Dress
Bora ipi hapo uvae maputo mwili mzima usubiri ya burst mchezo uishe au ujitie toillet paper mwili mzima kwenye harusi yako?