WHO;Shabani and Hawa
WHAT:Wedding Reception
WHERE:Ally Hassan Mwinyi Hall
COLOUR:Gold and purple
MC;Supertall
The newly weds
High table
Mc wa kwanza
Mc Supertall
Kabla ya maharusi walianza hawa
Matron and Bestman
Wageni rasmi wanameremeeeta
Mwenyekiti akikaribisha wageni
Symbol of marriage ikivishwa..
CHAMPAIGNE TIME
Kabla haijafika chini picha mnato ikadaka tukio
Pendedha wenyewe..ng'ari ng'ari
CAKE TIME
Upande wa bwana harusi
Upande wa bi harusi
TUNZO TIME
Madada wakitunza na wifi yao
Mama Sanga alipata vitu viiiiiiiiiigni tu kwa siku hiyo..kwa raha zake mwenyewe..
Viduku havikosekani..
Mama Sanga akikabidhi cheque yenye mahela mengi mengi kwa niaba ya kamati nzima
Left;Mrs Shabani and Mrs Msuya
Bride maids
Mama Sanga akikabidhi zawadi yake
No kula kwenye mkeka
WanaPSPF wakienda kukabidhi zawadi zao
Chezeyya watu wa ghorofa jipya..fridge brand new..
Mama Sanga with the couple
Mama wa bwana harudi with the couple
Hapo chacha..
Bwana harusi akitoa nasaha