Lori la kubeba kifusi cha mawe aina ya scania na lenye nambari za usajili T525 ACP mali ya kampuni ya Bhanji likiwa halitamaniki baada ya kufeli breki na kushindwa kusimama katika mteremko wa nzovwe jijini mbeya na kwenda kugonga gari aina ya prado ambapo dereva wa gari hili dogo alifariki hapo hapo
Gari aina ya prado lenye namba za usajili T720 BUV iliyokua inaendeshwa na mama mmoja alietambulika kwa jina la edna sanga ambaye alifariki hapo hapo baada ya ajali hiyo
Msongamano wa magari kutokana na ajali hiyo
Dereva wa lori hilo alietambulika kwa jina moja la daudi akiwa amelazwa katika hospitali ya rufaa Mbeya.
Picha thanx to mbeyayetu blog.