What: 1st Birthday Party
Where: MarryBrown-Masaki
Mgeni Rasmi aliwasili akiwa amejipumzisha
Mariam a.k.a Maza akimsaidia mgeni rasmi kuingia ukumbini
Ohh kumbe nshafika ukumbini,nimelala sana eeh?Hapo ndani ya jidhawadi la Aunt Parul
Games Time
Mapengo yaleeee
Madada wa mgeni rasmi wakiwa busy na game
Yeeeah its fair kabisa me kushinda hata kama nimebebwa
Buuuuusy wakiokota hiyo mirija,mshindi ni yule mwenye idadi nyingi zaidi
Na wewe una vingapi?....kwakweli they were too many i stopped counting
Cake Time
Jikeki shurti kuzungushiwa na cup cakes from Longa Delicacies
Umeipenda this idea?watwangie Longa Delicacies...+255717162797
Aunt Parul nisaidie kuzima mshumaa wangu
Wageni waalikwa
Meno mawili msawki wa nini?
Luqman,Sharo bilionea alobakia
Mariam Mwinjaka
Collin in the middle and friends
Mahmoud akitafakari
Am an angel with a cross on top,,oh yes ur my dear K
Khadija a.ka Da kiboga ndani ya red lipstic
Baby Gina ndani ya Pink pink,,pendeeedha
nifanye utundu gani hapa??!Abdulrahim huyoooo
Brian alipouz
Unywele orijinno huo shutti unabounce bounce akitembea..mashallah
Tatu Fundikira
Aunt Mwajuma
Jiparuuuu huyoooo
Anut Daisy
Aunt Teddy
Aunt Lilly
Aunt Tunu
Beautiful smiles,beautiful ladies
Uncle Abuu pia alikuwepo
Menu time
Kula twataka,kucheza twataka
Happy moments
2nafanana eeh?
Hapo machejo tuuu,kitu prakata tumba ikipigwa
Jamani wewe kipua chako kidhuli dhuli
Aunt Paru; with Luqman and Baby Adil
Adil: Huyu gauni lake dhuuuli natamani nimpokonye
Makaka hapo busy wakifanya umechanic
Hapo ndo vurugu zikaanza.....Aunty na mimi nataka kupiga picha
Basi alivyofika pale akakata kona,akaenda akaenda akaenda akaenda akaenda na stori imeishia hapo
Heee bado tu napigwa mapicha?
Viduku pia vilikuwepo
Gold ng'ari ng'ari
Mapowz time
Yan hapa nmetupia swaga zote za kiluguru
Mam Mapengo na pozi la kitanga
Collin the clown..lol
Jamani niko busy nacheza nipisheni na mapicha yenu
Bamkubwa Mengi aliwakilisha
Hapa kuntoa labda mje na dude lenyewe kama nlolipanda
Can't believe wamenipa my own rolls royce on my 1st Birthday
Aunty Parul and Baby K
Mariam,Abdul rahim and mummy
Okay nakubali just one pic kupiga
Oya bibi nipe miwani hiyo
Adil and me
Heee Aunty pili hiyo minywele