Leo tukumbuke mialiko ya mwisho mwisho ya kufturu siku chache kabla ya Eid
Hapa ni home kwa mariam and nassor ndo tulijiseia makullati haya
Totoz wakisubiri adhana tu hapo
Adil and bamkubwa Mengi
Ladies section palikua kama hivyo
Mwajuma and Parul
Gents side ilikua hivi
Habib akijisevia..
Baba mwenye nyumba Cholo mbili..
Sofia akiteta na mother house mariam
Kitu cha hina+piko pale kati kilikaa freeesh
Sheikh Mengi akifturu alongside Wakili Maina
Mam na Uncle Mody
Pozi za Adil sasa..mtajuaje kama nna vinjino??!
Adil and Aunt Mwajy and Luqman wakiwa kwenye pozi la kushiba futari..