Who: Fatma Mwinjaka
What:Kitchen Party
Where:New Msasani Beach Club
Colour: Pitch and Brown
MC: Kide
Meona top na dress ya Bi harusi?Pendedha eeh?
Ukicheki ipo kama gauni vile..
Matron kapendezaavomechi gold zake from head to bottom..
Peleka piece of cake to dear Mama..kitu cha kikombe cha babu..lol
Water melon to wake wa kaka zake..yaani how sweet they are...
Kapu la mama likisasambuliwa..
Mtoto kwa mama hakui...
Mama Shughuli and group akisasambua sanduku walomwandalia wifi yake..
Kideeeee akimwaga cheche..
Eeeeh..kikuku cha god aivishwa Bi harusi
Maskini Bi harusi akishindwa vumilia machozi yakamwagika baada ya kupewa set ya gold from wifi yake....chezea gold weyye...
Mrs Shaaban akimtunza ma mkwe wake..
Sofia a.k.a Mrs Faraji Mwinjaka na wifi zake Mariam,fatma and Kamaria wakiwatunza Mama Shughuli na ma mkwe wake..
Madada wa bi harusi wakipeleka sanduku lao..
Sanduku from the Mwinjakas...
Ze Mwinjakas...
Wafanyakazi wenzie Bi harusi nao walikuwepo kushereheka na shosti wao..
Bride and her Co workers from Bank of Baroda
PSPF nao hawakubaki nyuma..
Naona smile ya Leila pale kati..
Mrs Dau huyooo...
mchezo pesa nao ulikuwepo akitunzwa mama shughuli na wanaPspf
Ze PSPF family..
kitu cha Kwaito hicho..
Family and friends wa Mama Shughuli..
Mama akimtunza mkwe wake..
Mama mzazi wa Mama Shughuli na wakwe zake..
Bi harusi akaingia kupata picha ya pamoja
Zamu ya Mawifi watarajiwa kutoa mkono wa pongezi..
Then wakaja wageni waalikwa..
Na wote wakapata picha ya pamoja..
Bi harusi hana hiyana,nae akatoa mkono wa pongezi kwa Mama yake mpenzi..
Then to dada zake..
Mama Aisha. akipata zawadi yake..
Da tabu huyooo a.k.a mjeda..lol
Kide akichangamsha baraza..
Matron nae akapata zawadi yake kama shukrani kwa kazi nzito alokua akiifanya..
Zawadi kwa Bi harusi from Kamati..
Mama Shuguli akimkabidhi Bi harusi zawadi zake..
Pia kulikuwepo Kitanda ambacho ni zawadi from Mr and Mrs Salim Mwinjaka...
Waalikwa wakicheki yaliyomo yamo..
Ze Kamati...
Aliyekua Bi harusi Salama na mama yake wakitunzwa na Mawifi zake salama..
Hadi raaaha..
Mawifi wapenzi..
Kuelekea kupiga menu..
Karibuni..
Dushelele Time..
Mama Engi akiyarudi..
Nikupeni siri ya kivazi hicho ni kwamba hakijashonwa hata kidogo ni kitambaa kikafungwa fungwa vizuuuri na pini tu but cheki fitiing hiyo tafkiri ilienda kwa fundi kushonwa..hapana chezea pili..
Po chacha..
Amber Maa..
Still picture na Mnato..
Aisha Nyange na kati ya fahion idols salon tegeta..
The twins,wavofanana tafkiri tui na maziwa..
Madoido ya kufungua champaigne hayo..
Hapo ilikua mwisho kabla Bi harusi kuondoka na tulifungua me and the twins..
Na huo ndo mwisho wa sherehe yetu ya kitchen party..
nikiripoti toka New Msasani beach club
Ni longajao wa Longa Delicacies..
Ze End...
Bi harusi alipendeza,hongera zake
ReplyDelete