Tuesday, October 18, 2011

Fatma Mwinjaka's Kitchen Party...Part I

   
 Bi Harusi Mtarajiwa...madini mama madini....
Pendedha Mashallah..
Mpambaji Aisha Nyange and MC Kide wa ukwe'e..

Part One Yahusisha sana Wageni waalikwa wa shughuli hii,tuone nani alikuwepo na nani alipendeza...

Ma wii wa mtarajiwa..



Petty and Mam Cholo..love the hair ki amber rose zaidi..


Na kati ya PSPF..


Black and Yellow...black and yellow 

From Left Fatma Ngunde,Kamaria Mengi and Pili Julius



Ma Wiwo wa salama Mwinjaka

Salama and Tabu

Mama Engi,Sofia and Salama

Mrs Faraji Mwinjaka




Je ungepeeeenda kujua walikua wakipiga makofi ya nn?



Full mshangao...




Na kati ya Bank of Baroda...

Mama Shughuli,Mrs Shaaban Mwinjaka ndiye aliyeandaa shughuli nzima kwa ajili ya wifi yake..Mola amzidishie kwa wema wake

Mama Mzaa chema pale kati..

Left:Mama Msule 

Madada wa Bi harusi haoo,umependeza Mama Latifa..


Ngoma ya kichaga ikichezwa kwa mtindo wa tusiibiane vya mfukoni..lol

Mama akijimwaya mwaya..

Mama Shughuli na designer wa siku wa nguo ya Bi harusi Whitney

Jicake hilooo...nyam nyam...
Je ungepeeeenda kujua ilifanyika wapi?
Bi harusi alivaa mshono gani?maana alipendeza si mchuzi
Ile mishangao yote ya nini?
Party ilianza saa nane hadi usiku sa wataka kujua yaliyojiri?ni meeeeeeeengi ya kutosha
Stay tuned for part two any time from now kwa majibu yoooooooote hayo..
Nikiripoti toka eneo la tukio.
Ni mimi Longajao...



No comments:

Post a Comment