WHO; Mwanahamisi Waziri
WHAT; Kitchen Party
Where; Mango Garden
COLOUR; Orange and Blue (Colour Combo)
MC: 6 Different MCs
Bi Harusi Mtarajiwa
The Stage
Mgeni rasmi akiingia
Full madoido
Full kujimwaya mwaya
Bi harusi ni mdogo wa MC maarufu anayejulikana kama engineer wa jiji a.k.a Kide
Tukio la Utambulisho lilifanywa na Mc Kiatu
Bi harusi na engineer wa jiji..
Chezea engineer..kide wa ukwe'e
Mc Kiatu a.k.a kibajaj
Shughuli ilianza kwa kumtoa mwali..
Wanamama wa Pspf wakitoka kumtunza Bi harusi mtarajiwa
Mzigo ukapelekwa kwa mama mzazi
Champaigne time
Katika Ku pop champaigne tukio lilifanywa na Mc huyu
Mama Mzazi
Bibi mzaa mama
Dada mkubwa kide
Cake Time
Mc wa tukio la cake ndo kama umuonavyo
Bibi akapata piece yake
Mama pia akapata piece yake
Na dada akipata ya kwake
Dada Kide akipata piece yake huku akisakata rumba
Mc Zawadi akipata piece yake from shosty wake Mc Kide
Mc mwingine nae akapata piece yake
Mc huyu alipita kusema mawili matatu kuchangamsha baraza,yaani kila kitu kilikua systematic
Hapo sasa Ma Mc wote walijikusanya wakaanza kutoa show wakiongozwa na MC kiatu
Style ya kibajaji ikaanza..
Kila mtu akaanza kucheza ajuavyo..
Hii ndo style ya kibajaji sasa
Zawadi time
Sekta hii iliongozwa na Mc Zawadi
Kapu la mama
Mawifi watarajiwa
Mrs Faraj Mwanjaka na wenzake wa jengo jipya a.ka PSPF
Mama Msuya na Mc Kide
Chezea jengo jipya mshahara mpya..lol
Hao wote ni Ma Mc waliofanikisha shughuli kwa usiku huo
Mama na mwana
Madada
Wamefanana eeh?
Pendedha wenyewe..
Bi harusi akipewa maelekezo ya table mats
MC Kide na wadogo zake..
Mchezo Pesa..
Hasara roho..
Mahela tu hapo..
Huyu anakua wifi yake kide kwa kaka yake..
Akimtunza mama mkwe
Kide akimtunza mama yake
Hadi chozi lilimtoka
Hasara roho..
Mpaka chiniiii...
Wifi alitunza sofa set..
Zawadi from mama
Zawadi from dada zake
Huyu dada pia anaitwa kide
Mc Kide,bi harusi mtarajiwa na kidele
Zawadi zikiendelea from dada
Show zilikuwepo za kumwaga ushindwe wewe tu na macho yako
Kibajaj style...
Kwaito kama kawa..
Miduariko haikusahaulika
Hadi style za viti pia zilikuwepo
MC Zawadi na Mc Kiatu
ZE END
No comments:
Post a Comment