Who; Mwanaidi Msuya
What; Kitchen party
Where; Lulu Hall
Colour;Gold,brown and light orange
Caterer;Bomashee-0655241233
Mc;Kide
Bi harusi mtarajiwa akiwasili
Mijizawadi aliipata haswaa
Kitchen iko full..kazi kwake tu..
Wageni wakiwasili ukumbini
Wakwe wakiwasili
High table..
Wageni wakikaribishwa na da salome,dua pia ikasomwa na Mrs.Dau
Utambulisho uki take place
Mabibi hao
Mashangazi..
kitu cha champaigne kikitikiswa...
Lets make a toast
And cake was cut..
A piece to dearest mama..
Beloved to be Sis in law
Granny..
And Pspf crew..
Mahanjumati yakipakuliwa..
Plate zilinona haswaa..
Wakati wa dinner,Mwanaidi lipita kila meza kugawa souvenier kwa kila alokuwepo
ZAWADI TYM..
Lilianza sanduku likasasambuliwa kwa uzuuuuri na mamaa kide..
Mmeona hii?
Likaja kapu la mama
Binti anaingia kwake yupo full kuanzia chumbani..
Sitttig room..
Hadi jikoni..
Wamependeza..
Nasaha ikitolewa..
Masikini machozi ya furaha yalimwagika mwanaidi..
Ikaja time ya Pspf..
Wakakabidhi zawadi yao ya makochi yenye gharama kubwa sana..
Chozi la furaha halikumuisha..
Kama haikutosha wakaanza kutunza sasa,ni nyekundu nyekundu tu ndo zilikua zinatembea..chezeyya
Somo huyo akiingia..
Kwa raha zao
Na somo pia akatunzwa..
Mabibi hawakubaki nyuma..
Furaha iliyoje kuona harusi ya mjukuu..
Mashangazi..
Ni full furaha hapo..karaha hukoooooo mbali
Mawifi watarajiwa..
Colleagues from CBE..
Kama zawadi tu mashallah alizipata...
Mabibi nao wakatunzwa..
MAPOUWZ TYM..
Designer wa nguo ya alovaa Bi harusi mtarajiwa..
No comments:
Post a Comment