Friday, December 16, 2011

Mwantum Mashaka's Kitchen Party...PART I

Who;Mwantum Mashaka
What;Kitchen Party
Where;Lamada Hotel
Colour;Pink and Gold
Mc;Jamila Kitimtim
Bibie Mwantum huyo

Lamada Garden..
ZAWADI





                                                               WAGENI WAKIWASILI



Wakati bi harusi akisubiriwa,watu waliserebuka



MC Jamila Kitimtim
MAMA AKIWASILI

Aunt Bure,Mama wa Bi Harusi

Mwanaidi a.k.a Mrs Abdulnaseer


Aunt Nuru na Dada yake ambaye ndo mama wa Bi harusi

Apo chacha..

                                                                   MTARAJIWA AKIWASILI


Full kujimwayamwaya


Ng'ari Ng'ari alitoka

Mtu na odo wake


Mtu na dadiye


Tunacheza kizombi zombi..


Wageni wakikaribishwa..

Kumfunua Mwali unaachia vijisenti kidogo..

Mwantum akitoa utambulisho

Eeeh Maritina eeeh maritina....Mama anajihisi yupo milimani uluguruni

Mamdogo akitambulishwa



                                                                    CAKE TIME
Kitu cha Ua..

  








Kuja kwa Mwanaidi sasa,kwanza wakatoa show ya nguvu kabla kulishana cake

Katika Sendoff ya mwanaidi,Mwantum ndiye alikua matron wake

Best friends..
                                                                      NASAHA

                                                                  ZAWADI TIME
Mama alijipinda haswaa..



Kapu la Mama likasasambuliwa..



Wadogo wa Bi harusi..

Ikaja zamu Ya Aunt nuru


Picha zajielezea..






Aunt Nuru akawekwa mtu kati kutunzwa

Zamu Ya Mama

Mchezo Pesa..















Viduku vilikuwepo vya kutosha..tena vya kila aina,vya kusinzia,vya kujirembea ushindwe wewe na macho yako tu..


Shosty wa Bi harusi..




















Walipiga pozi zuuuri tu..

Mara wakaanza kutoa show...

                                                             Ushindwe we na macho yako tu..














To be continued...

Thursday, December 15, 2011

All the best ma bebe..

Her name is Halima and as of this very date just few hours ahead from now she will be getting married to long time boyfriend Salim Tahir
This was during her graduation,few weeks back..With her mom.
With Lil Sis..
Another Lil sis..
Two charming girls..jamani natamani ningewaona watakavyopendeza leo..
So sad i have to miss your wedding dear,kitabu kimekaba koo..sobsob...

Ana Swag za kutosha cheki unyayo huo,yaani i'm gonna miss so much today,trying my best to get hold of the wedding pics tuzimwage humu jamvini

With her friend..

Her mom at the front,salim abdul,the graduand and her to be wifi kamaria..
Wishing u all the very best in your wedding ceremony and may u and Salim last forever till death do you apart....Much love Bebe..