Monday, May 30, 2011

Kim Kardashian's big rock on her finger

                                       
                Kim Kardashian and her fiance Kris Humphries kwa mara ya kwanza wakionekana hadharani baada ya kim kuvishwa pete ya uchumba na hapo ilikua kwenye amber fashion show katika meridian beach plaza in Monaco. 
                                          

                                      
                                           And here is the tweny carat big rock
                                       
Family and friends gathering to celebrate the engagement

                                       
Hiyo ndiyo cake iliyokua na theme ya ki princess kusheherekea engagement ililetwa na mama yake kim,kris jenner

                                       
Hapo akiwa ndani ya Lax Airport vidole vikiwa juu juu kuonyesha her $20 million dollar rock on her finger

                                      
                                                Close up of the engagement ring

Swali lianakuja hii itakua ni ndoa kweli au Kim ataendelea kupata mitoso kama aloipata mwanzoni???
                                         

My Baby Collin's Birthday Party

On friday 27th May was my Baby Collin's birthday and he celebrated it with his friends in school,Feza Boys,Sorry darling Aunty had a paper in the morning couldn't make it there but me luv u so so so....
The man himself Collin,I call him collin the clown coz he always makes me laugh muone hapo sura yake imekaa kiutundu utundu..lol
What wish should i make???oh yeaaah i want Ben10 himself to live with me in my house forever..

                         Here goes nothing..pheeeeewwww,sijui BEN10 atakuja kweli?
Mariam akimlisha a piece of yummy cake her toto....My mummy is so kind mpaka leo bado ananilisha tu

Aunty Parul was there representin all aunties who couldn't make it since it was friday,a special prayer day for muslims,kitu cha dira kilihusika sana

Collin's teacher also took part in the celebration

Now my classmates,startin with my favourite in class..lol

                                          And now my partner in mischief...lol
Party Time yeeeeeeeaaaahhhhh
Hope u had a blast my dear,May the Almighty bless you and may u live to blow 1000 more canldes..
Luv u...

Saturday, May 28, 2011

Singer Keyshia Cole Weds!

                           Colegibson
Hatimaye Keyshia mwimbaji wa 'sent from heaven' aoana na mchezaji wa kikapu Daniel Gibson mwishoni mwa wiki iliyopita.Keysia alivishwa pete ya uchumba siku ya mkesha wa mwaka mpya wa 2010 na ndoa hiyo ilikua ni ndogo na haikujaa tashtiti na watu wengi kama ndoa tulizozoea za mastaa.

Saturday, May 21, 2011

Rahaaaa..utamu



Nilikutana nae eneo la korogwe akipiga zake banana wine hiyo aloshika mkononi yan full maraaaha akaomba afotolewe na kinywaji chake hapo akiwa bwi bwax
Na hiyo ndiyo nyumbani lounge ya kikorogwe zaidi

Inauma...

Hey guys sorry nilikua kimya this week nlipata kisafari cha ghafla ila njiani nilikutana na tukio kama hili 
Hili ni gari lilokua limebeba shehena ya mahindi likiteketea kwa moto katika eneo la ruvu darajani kama uonavyo hapo juu,full mijihasara,inauma,dduh!

Nilijaribu kuuliza kwa waliokua eneo la tukio nikaambiwa dereva wa gari hilo aliambiwa kuwa gari lake lilikua na tatizo taingia usiku wa saa tisa ila hakutilia maanani hadi hapo lilipomwakia moto kama hivyo,ilikua mida ya saa mbili asubuhi wakati nikipiga picha hizi

Gari lionekanavyo kwa mbele

Watu wakisevia mahindi kiulaiiiiiiniiii,ama kweli kifo cha panzi sherehe kwa kunguru
Popcorn hizo zilizookotwa tayari kwenda kukoboewa watu wakajisevie 

Sunday, May 15, 2011

Salama Mwinjaka and Lilah Maganga's wedding album

Bride:Salama Mwinjaka
Groom: Lilah Maganga
Where: Korogwe-Home
What: Wedding ceremony
Colour: Blue
Bi harusi akirembwa

Umeridhia kuolewa na Mr.lilah?
Aaaaamin rabbil alaaamina
Ndoa ikifungwa
Mabraza wa bi harusi wakifanya upaparazzi
Mila ikifanyika,hapiti mtu bila bakhshishi
Lazma mtoe kidogo kitu hapa
Bi harusi akiombewa awe mke mwema
Full shangwe
Jamani yan ndo tayari nshaolewa?
Yan me nalia we unacheka?
Bas tabidi na me ncheke tu
Lovely
Bi harusi na wifi yake sofia
Sister sister...Bi harusi na mdogo wake fatma
Bi harusi na wifi neema

Love Birds
Menu Time

Kitu cha biryani
Bwan harusi akizidisha shavu
aiweeeeewe kula


Mc Kide na plate yake
Mashemeji wa Bi harusi hao

Mama neema ye alijisevia faaaasta akamaliza menu yake
Wakimwaga wino
Mh,hii saini yake kweli?
Ngoja nijitoe muhanga tu..lol
Mr and Mrs Lilah Maganga
Mapowz
Pendeeeedha
Mijipiko hiyooo,cheki guu hilo ng'ari ng'ari


Wakitafakari safari ya kurudi dar muda huo huo
mchum mchum mwaaaaaah
Na Mama wa Bi harusi
Ma'mkwe akishow sum love to mkwe
Ma wii hao full machumu
Sare ya mawii ilikua kitambaa cha dira jepesi

Sofy akituringishia piko yake



Kamaria ndani ya poz la kushtukiza










Nimependedha sjapendedhaaaaa?Umependedhaaaa

Ma'mkwe wa bi harusi

Maharusi na kaka wa Bi harusi,Shaaban mwinjaka
 
Mama mamu and aisha mpambaji wa Bi harusi

Na sare zao wenyewe,pendedha
Akiondoka rasmi
Kurudi nyumbani kutembea..

Wakwe wa Bi.harusi wakitoa shukrani kwa ukarimu waliopata toka kwa wenyeji wao wa korogwe na hapo walikua tayari kuanza safari ya kurudi dar jioni hiyo hiyo,hamna kuremba

Maharusi wakiskiliza shukrani zikitolewa

Mwisho