Monday, July 16, 2012

Ajali mbaya jijini mbeya,mmoja afariki dunia papo hapo na wengine saba kujeruhiwa

Lori la kubeba kifusi cha mawe aina ya scania na lenye nambari za usajili T525 ACP mali ya kampuni ya Bhanji likiwa halitamaniki baada ya kufeli breki na kushindwa kusimama katika mteremko wa nzovwe jijini mbeya na kwenda kugonga gari aina ya prado ambapo dereva wa gari hili dogo alifariki hapo hapo


Gari aina ya prado lenye namba za usajili T720 BUV iliyokua inaendeshwa na mama mmoja alietambulika kwa jina la edna sanga ambaye alifariki hapo hapo baada ya ajali hiyo

Msongamano wa magari kutokana na ajali hiyo

Dereva wa lori hilo alietambulika kwa jina moja la daudi akiwa amelazwa katika hospitali ya rufaa Mbeya.
Picha thanx to mbeyayetu blog.

No comments:

Post a Comment