Friday, April 29, 2011

Stop!..fashion checkpoint..kitu cha mnyamaaa

Hawa wote ilitokea by coincidence siku ya jana walitilia kitu cha mnyamaa nikaona si vibaya 2kawacheki walivyojipendezesha..

Rita Pierre ndani ya mnyamaa mixer pink kwa pembeni

Jennifer Richard akiwa ndani ya chui chui

From Left ni Annecia and Vera Nzowa wakiwa ndani ya sare sare maua...
wooote wamependeeeeeza...

Animal Print Cakes