Friday, April 8, 2011

Longajao Mtaani...Fiesta Soccer Bonanza@leaders Club

Jana Longajao katika kukatiza mitaa iliamua kuelekea katika Fiesta Bonanza eneo la leaders Club ambapo Club za mabingwa wa Ulaya zilishindanishwa na Real Madrid kuondoka na ushindi katika Fainali dhidi ya chelsea
Tycson,kamanda and faraja wakichekana baada ya team zao wote kutolewa katika mchujo

Hapo nyimbo za club za mabingwa wa Ulaya zilipigwa na mashabiki walirukaruka  

Mashabiki wa team ya Barcelona wakienjoy wimbo wa club yao


Shafii Dauda ambaye ni mtangazaji wa Clouds Fm kipindi cha Sports Extra aki enjoy wimbo wa club ya InterMilan 

Mashabiki wakishangweka


Ikafika zamu ya club ya Real Madrid kujimwaya kabla ya fainali kuanza





Mashabiki wa team nyingine wakiwachek wenzao wakiserebuka

Zamu ya AC Milan ilifika na shabiki huyu tu ndiye aliyejitokeza mbele kucheza wimbo wa club yao...Dduh!

Hakukata tamaa mwenyewe aliendelea kuzunguka uwanjani peke yake..lol

Mashetani wekundu nao waliingia uwanjani





Nyomi la watu wakiruka ruka kabla ya fainali kuanza



Shabiki wa Manchester akilazimisha tabasamu baada ya kutolewa katika mchujo 

Referee akicheki kama kila kitu kiko sawa kabla ya fainali kunza

Wachezaji wakiingia Uwanjani kuanza fainali


Na mpira ukaanza..

Soka likiendelea...



Muda wa mapumziko ambapo ilikua bila bila..

Soka ikaendelea na hadi mwisho hakuna aliyeweza kumfunga mwenzie ndo penalty ika take place..lol

Hadi mwisho wa penalty Real Madrid wakaibuka kidedea


Mashabiki wa Real Madrid wakishangilia ushindi wao dhidi ya Chelsea



   ...