
Kim Kardashian and her fiance Kris Humphries kwa mara ya kwanza wakionekana hadharani baada ya kim kuvishwa pete ya uchumba na hapo ilikua kwenye amber fashion show katika meridian beach plaza in Monaco.

And here is the tweny carat big rock

Family and friends gathering to celebrate the engagement

Hiyo ndiyo cake iliyokua na theme ya ki princess kusheherekea engagement ililetwa na mama yake kim,kris jenner

Hapo akiwa ndani ya Lax Airport vidole vikiwa juu juu kuonyesha her $20 million dollar rock on her finger

Close up of the engagement ring
Swali lianakuja hii itakua ni ndoa kweli au Kim ataendelea kupata mitoso kama aloipata mwanzoni???
No comments:
Post a Comment