Tuesday, May 10, 2011

Salama's Send Off

Who:Salama Mwinjaka
What: Send Off
Where: Hill View-Korogwe
Mc: Kide
Colour: Gold

The Beautiful Salama
Karibuni Bibi harusi na Matron
Matron alitoka simple but veeeery nice,alitinga black dress na jikanda kubwa la gold pale kati then na kiatu cha gold,pendeeedha
Na Starring alikua ni yule yule Mc Kide 
Cake Time
Jikeki la ngazi ngazi from korogwe,taaamu hilo
Kata keki tuuule..
Kwanza namlisha my young sis and Matron
Wakwe siwasahau jamani..
Kaka Wa Bi.Harusi,Mr.Faraji Mwinjaka akitoa utambulisho
Mama mzaa chema,mama yetu kipenzi

From Left Mrs Shaaban Mwinjaka and Mrs.Faraji Mwinjaka
Wakwe hao

Saka Mume Time
Bi.Harusi alitoa macho huku na kule mpaka akampata Bwana Harusi wake Mr.Lilah Maganga wa pili toka kushoto kisha champagne akaifungua mwenyeeewe na hapo ndo akimmiminia kwenye glass
Japo sunna upate..

LOVELY...
Pendedha saaaana..

Zawadi Time
Mama alianzisha msafara wa kutoa zawadi
mamaaa ya korogwe wakafuatia..

Hata mkono wa pongezi pia ni zawadi..Hapo alikua akitoa mkono wapongezi kwa machejo..
Mr.Mengi Mbilikira nae alikuwepo..
Rumba Time

Na qyto zikapigwa shuffle zikaanza
Chezeee twist weyye..
Mpaka chiiiiiiini..
Miduariko haikubaki nyuma
Sofy na shemeji yake wakijimwaya mwaya

Walivyopendeza
Sister sister..wamefanana kama mchanga..lol
Mr.Mengi Mbilikira
Wifi mtarajiwa..piko kwa sana tu..

Mama Mamu Cholo na kati ya zantel akiwa na Aisha
Neema and Sofia
Wifi mtarajiwa pendedhaaaaa
Sofia,Mwanamkuu and Neema
Wageni waalikwa

Ze Kamati

Ze End
Bado Picha za Ndoa,Stay tuned..

5 comments:

  1. kuna mtu kavaa shirt la blue kakaa nyuma yake kuna meza ya masufuria ya mnuso inakuaje ndo analinda kitengo msosi au...!!!!?

    ReplyDelete
  2. Mtoto uko juu kama Michuzi. Go! go! baby. Tupe raha. Its me (Mama R). Ila we ndo huonekani popote!

    ReplyDelete
  3. soon ntaanza kutoka mama R ngoja nkajipige adobe usoni kwanza..lollest

    ReplyDelete
  4. kapendeza nanguo yake bi harusi, ila hiyo mekapu mmmmmh!fujo wamemjaza cna na hizo kope loh..azijampendeza yani paka amearibu picha,na huyo matroni mbona nguo azijaendana na bi harusi ful kachumbari jamani heee makubwa....

    ReplyDelete
  5. HARUS NI NZURI MNO BUT MATRON JITAHID KIDOGO ANOTHER DAY UPENDEZE HASA COULOR YAKO YA NGUO NI BLACK HOW?

    ReplyDelete