Sunday, May 15, 2011

Salama Mwinjaka and Lilah Maganga's wedding album

Bride:Salama Mwinjaka
Groom: Lilah Maganga
Where: Korogwe-Home
What: Wedding ceremony
Colour: Blue
Bi harusi akirembwa

Umeridhia kuolewa na Mr.lilah?
Aaaaamin rabbil alaaamina
Ndoa ikifungwa
Mabraza wa bi harusi wakifanya upaparazzi
Mila ikifanyika,hapiti mtu bila bakhshishi
Lazma mtoe kidogo kitu hapa
Bi harusi akiombewa awe mke mwema
Full shangwe
Jamani yan ndo tayari nshaolewa?
Yan me nalia we unacheka?
Bas tabidi na me ncheke tu
Lovely
Bi harusi na wifi yake sofia
Sister sister...Bi harusi na mdogo wake fatma
Bi harusi na wifi neema

Love Birds
Menu Time

Kitu cha biryani
Bwan harusi akizidisha shavu
aiweeeeewe kula


Mc Kide na plate yake
Mashemeji wa Bi harusi hao

Mama neema ye alijisevia faaaasta akamaliza menu yake
Wakimwaga wino
Mh,hii saini yake kweli?
Ngoja nijitoe muhanga tu..lol
Mr and Mrs Lilah Maganga
Mapowz
Pendeeeedha
Mijipiko hiyooo,cheki guu hilo ng'ari ng'ari


Wakitafakari safari ya kurudi dar muda huo huo
mchum mchum mwaaaaaah
Na Mama wa Bi harusi
Ma'mkwe akishow sum love to mkwe
Ma wii hao full machumu
Sare ya mawii ilikua kitambaa cha dira jepesi

Sofy akituringishia piko yake



Kamaria ndani ya poz la kushtukiza










Nimependedha sjapendedhaaaaa?Umependedhaaaa

Ma'mkwe wa bi harusi

Maharusi na kaka wa Bi harusi,Shaaban mwinjaka
 
Mama mamu and aisha mpambaji wa Bi harusi

Na sare zao wenyewe,pendedha
Akiondoka rasmi
Kurudi nyumbani kutembea..

Wakwe wa Bi.harusi wakitoa shukrani kwa ukarimu waliopata toka kwa wenyeji wao wa korogwe na hapo walikua tayari kuanza safari ya kurudi dar jioni hiyo hiyo,hamna kuremba

Maharusi wakiskiliza shukrani zikitolewa

Mwisho

27 comments:

  1. Sijaona lolote la mana Zaidi ya mtu kuolewa. Acheni kujishauwa

    ReplyDelete
  2. vipi kwani hukupenda aolewe?we ndo uache mashauzi yako

    ReplyDelete
  3. ngoja, hebu tumuulize kwanza, labda mwenzetu wewe ulitegemea kuona nn humu ndani??
    ukisia wanga ndo hao sasa!! msonyo wa nguvu km wa macregan wa ze comedi

    ReplyDelete
  4. mwenye comment ya kwanza bila shaka ni demu wa zaman wa bwana haruc,haiwezekan kabisaaaa utume k2 km hich whyyyyyyyyyyyy.....!!!!!mwaka huu wako na JANUARY mwakan usubir kuona pictures za BABYSHOWER.

    ReplyDelete
  5. tyenyaaa,washambeka tunawataka sisi? hatuwataki bab eeenh, km huna wa kumdekea basi mwaka huu utajibeb'baa,, heheeeeee kaooogeeeeeee bdada mwenye cmnt.ya kwaa nzaa,hiyo ni kijoti zaid..

    ReplyDelete
  6. shosti wajinga wajinga km hao wapotezeee wala wasituharibie pose siee, km zipo nyingine weka mwanawane tutie nuru macho atii,kwa raha zako best na ikibidi wakuacheeeeee miaka 70...

    ReplyDelete
  7. kwani we mwenzetu vp? mzima au ndo mwezi mchanga?
    hayo yote yametoka wapi?" eti sijaona lolote la maana zaid ya mtu kuolewa" hilo la kuolewa kwani dogo? olewa wewe basi kama unaona rahisi kiivyo, acha wivu mpe mwenzio hongera yake na omba mungu nawewe uolewe na si kuleta chuki binafc zako hapa IDIOT kabisa

    ReplyDelete
  8. Nyie washamba sina nililoona ndiyo harusi zenye sifa ya kuanikwa hamuzioni mabloguni? Haieleweki ni ukumbini, nyumbani, barabarani au barazani. Hiloooo!!!!!! poye wee? wote mlojibu.

    ReplyDelete
  9. mshamba wa dar si sawa na mjanja wa kimbiji bishosti eennh! hiyo kwanza,2. aliokwambia ilikua ya sifa nani?? mbona wazim bdada?? iwe barazani, uchochoroni, uwani au chooni is non of ur bzns ngurue pori weee, na ulivyokazania sina nilichoona mnyalugusu mkubwa weee ukitaka za sifa nenda hukooo na si hapa,,

    ReplyDelete
  10. halaf kama huna cha kuandika bora upotezee mwanawane kuliko kuandika pumba,,unataka harusi ya sifa kwani umesikia hii ya kifalme??
    panapo sifa toa sifa na si kukandia best,
    bi harusi ulipendeza mashallah mungu awajaalie heri na awaepushe na vdudu wa2 km huyoo mwenye roho ya kwann..{ amiiiiin}

    ReplyDelete
  11. heh shosti umerudi tyenyaa?? haya leo umekuja na mpya gani?? anhaa haieleweki km ukumbini,nyumbani,au barabarani sio?
    jibu ni hili hiyo ilikua nyumbani! je kuna la ziada we mkaanga sumu??
    by the way shukran kwa kutembelea blog hii kila siku na karibu tena,hopu ntakukuta tena baadae..

    ReplyDelete
  12. ni busara na si majungu...May 24, 2011 at 6:57 PM

    Kwi kwii kwii kwi,,yaani ukitaka kucheka ingia humu jamani, yaani mwenzangu unavyoshushuliwa lkn umo tuu huchoki, bht mbaya sana una chosema wewe hakina logic ht kiduchu mamaa...KM UNA CHUKI ZAKO MI SIDHANI KM NI BUSARA KUZIWEKA HADHARANI NAMNA HII ww dili na mgomvi wako lkn si humu kwenye blog ndugu,, huo ni ushauri wa buree vinginevyo utashushuliwa mpaka mbwa utamuita mba, kazi ni kwako km VODA VILE,lol

    ReplyDelete
  13. mmmxxxxxxxxxiiiiiieeeuuu, huo ni msonyo wako mwenye comment ya kwanza kabisa.

    ReplyDelete
  14. Lazima atakuwa nsonso huyo.....fazafaka...

    ReplyDelete
  15. kuna watu wana moyo kushushuliwa kote na mifwooooonyo juuuuuu bado tu????unaambiwa if u can't beat them,join them...

    ReplyDelete
  16. Huyo fazafaka wa kwanza yaelekea kama ana ndoa basi ni ya kupepea, huenda ana mahaela lakini raha ya ndoa kama mke hana yote ni kwa sababu ya usungo wake, hebu tafuta somo bidada akushike sikio, pole wee,mwaka huu kweli ni wako tafuta mbeleko ujibebe.

    ReplyDelete
  17. Haloo raha ya kulumbana na waswahili hiyo!!!! semeni matusi yote lakini ukweli ndo huo. Mawifi mashangingihaooo. Potezea!

    ReplyDelete
  18. Bi Harusi mawii umewapata mashangi.... malizia mwenyewe. magomeni, mwenge malizia.....

    ReplyDelete
  19. Shangingi mkweo...mkubwa mzima halafu unaonekana umeachika na kama unae ni konda maana anakuja usiku na kuondoka usiku. katafute nazi ukune hukooo... BARAZULI mkubwaa

    ReplyDelete
  20. Haloooooooh, Inaumaeeee

    ReplyDelete
  21. HUYU MWENYE COMMENT YA KWANZA ANANIKELA MIYEEE WALAIIII TENA,IV YANAMTOKA KWA KUMOYO KABISAAAAA O UNATANIA?NA KM UTAN NDO UTAN GAN SASA HUU!!!!!TAZAMA MIGUU YAKE KM MATAWI YA MITI...!!NA NIMETUMIA MIHERUF MIKUBWA AONE VIZUR...vidole vya mikono vimemshupaaaa km miswaki ya miti.

    ReplyDelete
  22. na km unajiamin andika na jina lako..unalificha la nn!!!!!!!!???????????unapenda kachumbali unaogopa kukata kitunguuu!!!!

    ReplyDelete
  23. mawi mashangingi inahuu? km ushangingi si wa kwao we tatizo lako nn? au unapenda tu uonekane km na wewe umecomment

    ReplyDelete
  24. kwa kipi hasa mpaka iume? haiumi chochote bidada labda wewe ndo kinakuuma mwenzio kuolewa na lilah!
    we ulitegemea hata olewa nn??
    pole imekula kwako mama flani, km yako inataka kukuponyoka jitahid kuidaka na si kumfanyia mwenzio husda ktk ndoa yake changa,,
    mwache bi haruc wa watu miaka 1000 bab weee
    kutuletea nuksi tu hapa,,mxxxxxxiiiyyyyeeeeuu!!
    msonyo wako huo

    ReplyDelete
  25. mashallah kapendeza ila huyo mwandishi wa habari aliyepiga picha angechagua zakuweka uku nyingine azistahili lo....






























    /

    ReplyDelete
  26. longajao achana na huyo wa kwanza inawezekana ni mlevi na muhuni tu hii ni web ya pamoja na mambo ya harusi

    ReplyDelete