Monday, April 25, 2011

Happy Birthday My Dumbo

Her name is MariaAshley Gonsalves and shez finally turning my age today si unajua ile age ya kupata keys 4 everything in life...lol..Hope u have a blast darling
Happy Birthday...

Wednesday, April 20, 2011

Mama's baby..

Mariam a.k.a mrs cholo and her cutest baby adil a.k.a boloyang

                                    Sa mama mbona me nmefanana na wewe wakati me man?
                                    acha kunzingua wewe 2lia 2endelee na mapouz yetu..

                                           Af ndo nakaa karibu na wewe ili 2fanane zaidi...lol

Friday, April 15, 2011

Icheki hiyo...

                   Have a blessed weekend guys..

Topsy Turvy Style..

                                                                                                                                               
                                                                                                                                                   




                                                   

Wednesday, April 13, 2011

Hey Mr.Handsome

                             Ngomeni Mbilikira
Anaitwa baby Amir Ngomeni, hapo amepigilia bonge la suit la kipedezjee akiwa kwenye moja ya minuso mingi anayopenda kwenda..hapo akipiga mahesabu ya kufanya next utundu ukumbini...lol
                                            pendeza baby,Aunty loves u lodz...

Polka dots..

                                                                 

                                                     
Polka Dots has been one of the endless styles in fashion. Above ni sample ya viatu vya polka dots and hapa tucheki mijikeki iliyotengenezwa kwa style hiyo. Simply callesd sweet and swagg...


                                        Polka Dot Cake





                   Umezipenda?tupigie Ovenfresh Bakery +255717-162797 tupate kukutengenezea cake taamu zenye swagg kama hizo. Karibuni..
                                                             
                                                    

Monday, April 11, 2011

Hongera kwa viongozi wapya wa CCM

Siku ya jana katika mkutano wa Halmashauri kuu ya CCM uliofanyika jijini Dodoma ulitoa majina mapya wa viongozi wa chama hicho kama ifuatavyo:-
Katibu Mkuu wa Chama-Wilson Mukama
Naibu katibu Mkuu Bara-Abdulrahman Kinana
Katibu wa Itikadi na uenezi-Nape Nnauye
Katibu wa Uchumi na Fedha-Zakia Meghji
Katibu wa Oganaizesheni-Rehema Nchimbi
                                         Hongera kwa wote waliochaguliwa...

Oven Fresh Creations..Heart Session..







Saturday, April 9, 2011

Stop!..fashion checkpoint

Anaitwa Dainess Simkoko ndo anatufungulia fashion checkpoint kwa style yake ya nywele alotupia ya kiduku. Pendeza....

Style ya Dainess imefanana na ya Riri except viduku vyao hapo juu vimepishana rangi..lol
This blog inakaribisha mtu yeyote kutuma picha yenye maswaga ya ukwe'e tuki divert kidogo from cakes n social events to
Have a great weekend..

Friday, April 8, 2011

Longajao Mtaani...Fiesta Soccer Bonanza@leaders Club

Jana Longajao katika kukatiza mitaa iliamua kuelekea katika Fiesta Bonanza eneo la leaders Club ambapo Club za mabingwa wa Ulaya zilishindanishwa na Real Madrid kuondoka na ushindi katika Fainali dhidi ya chelsea
Tycson,kamanda and faraja wakichekana baada ya team zao wote kutolewa katika mchujo

Hapo nyimbo za club za mabingwa wa Ulaya zilipigwa na mashabiki walirukaruka  

Mashabiki wa team ya Barcelona wakienjoy wimbo wa club yao


Shafii Dauda ambaye ni mtangazaji wa Clouds Fm kipindi cha Sports Extra aki enjoy wimbo wa club ya InterMilan 

Mashabiki wakishangweka


Ikafika zamu ya club ya Real Madrid kujimwaya kabla ya fainali kuanza





Mashabiki wa team nyingine wakiwachek wenzao wakiserebuka

Zamu ya AC Milan ilifika na shabiki huyu tu ndiye aliyejitokeza mbele kucheza wimbo wa club yao...Dduh!

Hakukata tamaa mwenyewe aliendelea kuzunguka uwanjani peke yake..lol

Mashetani wekundu nao waliingia uwanjani





Nyomi la watu wakiruka ruka kabla ya fainali kuanza



Shabiki wa Manchester akilazimisha tabasamu baada ya kutolewa katika mchujo 

Referee akicheki kama kila kitu kiko sawa kabla ya fainali kunza

Wachezaji wakiingia Uwanjani kuanza fainali


Na mpira ukaanza..

Soka likiendelea...



Muda wa mapumziko ambapo ilikua bila bila..

Soka ikaendelea na hadi mwisho hakuna aliyeweza kumfunga mwenzie ndo penalty ika take place..lol

Hadi mwisho wa penalty Real Madrid wakaibuka kidedea


Mashabiki wa Real Madrid wakishangilia ushindi wao dhidi ya Chelsea



   ...